Inaweza kuchukua mpaka muda wa masaa 24 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Selcom Huduma na Halopesa.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
Ni nini kinachotokea ikiwa Meridianbet anashuku Shughuli za Udanganyifu kwenye akaunti?
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Airtel Money
Sheria ni kwamba kulipa na kulipwa kunaweza kufanyika kwa njia moja tu inayofanana ya malipo.
Unaweza kulipia mkeka kwa namba yako pekee na akaunti ya TIGO Pesa.