Home
KUTOA PESA
Namna ya kupata nilichoshinda kwa kupitia dukani?

Namna ya kupata nilichoshinda kwa kupitia dukani?

Ingia sehemu ya tovuti na kwenye chaguzi la Kulipa/Kulipwa (Pay-in/Payout) ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipwa kutoka kwenye kisehemu cha Payout (Malipo). Chagua aina ya duka kutoka kwenye kimenyu kinachoshuka na uchague kutoka kwa orodha ya maduka yanayotokeza ambayo yamependekezwa. Kusanya pesa kwenye duka la kubetia kwa kutumia akaunti namba na nyaraka ya utambulisho. Weka saini kwenye tiketi dukani ili kuthibitisha kwamba umepokea malipo.