Home
KUTOA PESA
Ninawekaje pesa pembeni kwa ajili ya kutoa (reserve)

Ninawekaje pesa pembeni kwa ajili ya kutoa (reserve)

Pesa kwa ajili ya kutoa inaweza kuwekwa pembeni ndani ya sehemu ya Akaunti Yangu (My Account), kwenye kisehemu kidogo cha Kulipa/Kulipwa. Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kutoa kwenye kisehemu cha malipo na chagua aina ya malipo kwenye kimenyu kinachojitokeza.

 

Endapo unaamua hilo kwenye duka la kubetia, chagua duka ulilotumia kulipia na kukusanya malipo.