Home
KUTOA PESA
Toa Pesa kwa Kutumia USSD

Toa Pesa kwa Kutumia USSD

Toa Pesa kwa Kutumia USSD:

  • Step 1: Piga *149*10#.
  • Step 2: Chagua Number 6.
  • Step 3: Chagua Number 2 "Kutoa Pesa".
  • Step 4: Weka Kiasi.
  • Step 5: Weka Pin yako ya Airtel Money.

Umefanikiwa kutoa pesa kwenye akaunti yako ya USSD ya Meridianbet!