Tabia yoyote inayoshukiwa ya udanganyifu itazuia utoaji pesa kwenye akaunti yako. Hii inaweza kuhusishwa na 'Uwindaji wa Bonasi', Tiketi Nyingi, au tabia zinazofanana na hizo. Akaunti yako itasimamishwa mara moja bila ya sababu za kusubiri uchunguzi.
Minimum payout in the bet shop is 100 TSh
Ingia sehemu ya tovuti na kwenye chaguzi la Kulipa/Kulipwa (Pay-in/Payout) ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipwa kutoka kwenye kisehemu cha Payout (Malipo)
Jinsi ya kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwenda kwenye simu?
Toa Pesa kwa Kutumia Airtel USSD
Pesa kwa ajili ya kutoa inaweza kuwekwa pembeni ndani ya sehemu ya Akaunti Yangu (My Account), kwenye kisehemu kidogo cha Kulipa/Kulipwa