Unatakiwa kuwa na Credit Card ambayo ni halali ili kuweka pesa kwa Neteller
Hatua ya 1: Jisajili kwenye Meridianbet.co.tz na uchague Sarafu za Dola (USD).
Hatua ya 2: Tengeneza akaunti ya bure ya Neteller HAPA.
Hatua ya 3: Ongeza credit card kwenye akaunti yako ya Neteller.
Hatua ya 4: Bonyeza (Kuweka Pesa) 'Deposit' kwenye tovuti ya Meridianbet.co.tz
Hatua ya 6: Ingiza kiasi cha pesa kwa thamani ya Dola za Kimarekani ambacho unataka kuweka, chagua aina ya Malipo (Payment type): Neteller na bonyeza (Kuweka Pesa)Deposit Funds.
Hatua ya 7: Ingiza Akaunti Namba Yako ya Neteller na Utambulisho wa Siri (Secure ID) na bonyeza Kuweka Pesa (Deposit).
Hatua ya 8: Pesa itaonekana kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz punde tu utakapofanikiwa kuweka pesa.