Sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa USSD kupitia Airtel


Nitatengenezaje akaunti ya kubashiri kwa USSD ya Airtel?

Kufungua akaunti ya Ubashiri kwa USSD ya na Meridianbet Piga *149*10# kwa mtandao wa Airtel kisha ukubali Sheria na Masharti.

 

Sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa USSD kupitia Airtel:

  • Step 1: Piga *149*10#.
  • Step 2: Chagua Nambari 4.
  • Step 3: Chagua Nambari 1 "Weka kwenye Wallet ya Meridianbet".
  • Step 4: Ingiza Kiasi.
  • Step 5: Weka Pin yako ya Airtel Money.

Umefanikiwa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya USSD kwa kutumia Airtel!