Msaada
Home
MAARUFU
Kuweka pesa kwa TIGO Pesa

Kuweka pesa kwa TIGO Pesa

Namna ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia TIGO Pesa

  • Hatua ya 1: Bonyeza *150*01# kwenye simu yako
  • Hatua ya 2: Chagua 4 kwa “Malipo” kwenye menu yako ya Tigo Pesa
  • Hatua ya 3: Chagua 2 kwa “Ingiza Namba ya Biashara”
  • Hatua ya 4: Ingiza namba ya biashara “444999
  • Hatua ya 5: Ingiza tu Akaunti ID kama namba ya kumbukumbu
  • Hatua ya 6: Weka kiasi cha pesa unachotaka kuweka kwa shilingi ya Tanzaniaunachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Kiwango cha mwisho ni 100 TZS
  • Hatua ya 7: Thibitisha taarifa na Ingiza PIN. Kamwe usigawe PIN yako kwa mtu yeyote!

 

Inaweza kuchukua dakika 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo unahitaji taarifa zaidi, usisite kuwasiliana na Huduma kwa Wateja.