Weka pesa kwa KwikPay - Airtel Money


Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia KwikPay - Airtel Money

 
  • Hatua 1: Piga *150*60# kwenye simu yako
  • Hatua 2: Chagua 5 kulipia kwa Airtel Money
  • Hatua 3: Chagua 4 Kuweka namba ya Kampuni ya Meridianbet
  • Hatua 4: Ingiza namba ya kampuni ya Meridianbet ni "400700"
  • Hatua 5: Weka namba 555 kisha ikifuatiwa na namba ya akaunti yako (ACCOUNT ID) kama kumbukumbu ya malipo. Mfano (555117132...)
  • Hatua 6: Weka kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.
  • Hatua 7: Weka namba yako ya siri kukamilisha malipo na kumbuka kutompa mtu yeyote namba yako ya siri.

Inaweza kuchukua hadi dakika 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kama unahitaji maelezo yeyote ya ziada, usisite kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja.