Gemu inachezwa kukiwa na kadi 52 ambapo mchezaji anashindana na mwenye mpango (dealer) ambapo wanashindana ni nani atafikia idadi ya namba ya alama za kadi karibu kabisa na 21 au 21 kabisa, na kamwe si zaidi ya 21.
Kadi zina thamani zifuatazo:
A – inahesabika kama 1 au 11
10s, Js, Qs na Ks – inahesabika kama 10
Kadi zingine zina thamani sawa na zinazoonekana kwenye uso wake.
Mfanya mpango (dealer) anakuwa na kadi mbili kwa mchezaji na kutegemea idadi ya alama, mchezaji anaamua endapo ataweka rehani na kuchomoa kadi zaidi au kusimama.
Endapo idadi ya alama imezidi 21 mchezaji anakuwa amepoteza.
Endapo mchezaji anasimama, mfanya mpango anajaribu kupata alama karibiana na 21 zaidi ya mchezaji.
Ni lazima mfanya mpango achomoe kadi endapo matokeo ni 16 au chini ya hapo na kusimama endapo matokeo ni 17.
Katika wakati wowote, kwenye upande wa kushoto na kulia wa mfanya mpango, takwimu za hapo awali zinaoneshwa.
Mchezaji anaweka beti kwenye kadi zake, lakini katika hali ya mahali ilipo ambapoo nafasi zote kwenye meza zimetwaliwa, mchezaji anaweza kuweka beti kwa mchezaji aliye mezani, kwa kutumia chaguzi ya “Beti kwa Nyuma (Bet Behind)”