Home
KASINO
MIONGOZO YA MICHEZO YA SLOTI

MIONGOZO YA MICHEZO YA SLOTI

Kabla mchezaji hajaanzisha mchezo, ni muhimu kuijua miongozo muhimu inayohusiana na michezo yote ya sloti kwenye tovuti, lengo ni kurahisisha utumiaji wa tovuti.

Muongozo wa kwanza kutokea kushoto kwenda kulia ni Kuona malipo.

Inatumika kumuwezesha mteja kuitumia vizuri mistari ya malipo kwenye mchezo huu, kuelezea ushindi, kuangalia mistari na thamani ya alama zilizopokelewa wakati wa mchezo. Hili ni chaguo kama lile la Legends kwenye vifaa vya mubashara ambavyo, maelezo yake yanaonekana juu au chini ya skrini ya kifaa.

Autoplay ni chaguo ambalo tunalitumia tunapoweka dau, idadi ya mistari na uwiano. Ni chaguo ambalo linaendesha mchezo na kuinua mfumo mzima wa ubashiri. Chaguo hili linasitishwa pale tu unapopata mizunguko ya bure.

O, 5+, sarafu za mistari I ni alama za kuongeza uwiano wa namba/idadi ya mistari kwenye mchezo na kazi zake wakati wa mchezo.

Max bet ni chaguo linaloturuhusu kucheza mzunguko mmoja kwenye kazi moja wakati wa mchezo kwa kubofya kitufe hiki.

Spin pia ni kitufe cha kuanzisha ambacho kinaongoza mchezo peke yake. Mwanzoni mwa mchezo, kizuizi kinatokea ambapo mchezaji anaweza kuacha nakuongeza kasi muda wowote.

Inapotokea umepata idadi fulani ya pointi, sehemu ambayo imewekwa mistari na sarafu, kitufe cha kuongeza na kukusanya kitatokea (kwenye michezo ambayo chaguo la kubashiri lipo na linawezekana), ambacho kinamruhusu mchezaji kuzidisha ushindi wake mara mbili kwa kutumia rangi ya kadi (nyekundu-nyeusi) au kuzidisha ushindi mara tatu kwa kutumia alama za vitu (almasi, klabu, moyo, jembe).

Kumbuka:

Haya ni maelezo ya vitufe kwa baadhi ya michezo mingi ya sloti kwenye tovuti yetu. Hakuna mistari ya malipo kwenye mchezo mmoja mmoja na hivyo, hakuna kitufe cha “lines”. Baadhi ya michezo haina chaguo la kubashiri au kuzidisha ushindi mara mbili, hivyo kipengele hiki hakihusiki kwenye michezo hiyo, kitufe hiki hakipo.