Home
KASINO
NAWEZA KUONA SEHEMU GANI SHUGHULI ZANGU ZA KASINO?

NAWEZA KUONA SEHEMU GANI SHUGHULI ZANGU ZA KASINO?

Kila unachokifanya kwenye kasino, kinaonekana kwenye kipengele cha Akaunti yangu, kipengele kidogo cha miamala ya kasino upande wa kushoto.

Weka tarehe na uanze kutafuta. Kila muamala una namba yake, muda, kiasi na akaunti inayotambulika. Kama una miamala zaidi ya 10, nenda kwenye ukurasa wa pilu kwa kutumia mishale iliyopo mwishoni mwa ukurasa.