Roulette ni gemu ambamo mhusika (dealer) anazungusha mpira ambao unaangukia kwenye poketi la gurudumu lenye namba kuanzia 0, ambalo ni la kijani, mpaka 36, ambazo zinabadilishana kuwa nyeusi na nyekundu.
Mchezaji anaweza kuweka beti kwenye kila namba moja moja pekee yake, lakini katika sekta ya namba pia, namba shufwa/witiri, nyekundu/nyeusi, juu/chini.
Wakati wa kufunguka kwa beti, yaani kwamba, kuhesabu namba kunapoanza mchezaji anaweza:
Mchezaji anaweza kurekodi beti zake kwa kuziweka na kisha kubonyeza ‘save layout’ na kuseti aina ya msimamo wa beti.
Chaguzi ya “Autoplay” inafanya kazi kama ya kujirudia rudia kwa beti ya aina moja kwa muda kadhaa.
Taarifa za msingi za mhusika (dealer), ukomo wa kubeti, takwimu, na historia zinapatikana upande wa kushoto na kulia mwa skrini.
Vinginevyo beti ni batili.