Gemu yenye kadi 52 ikiwa na lengo la kubashiri ni mkono wa nani utakuwa karibu na thamani ya 9.
Mchezaji anaweza kubashiri kwenye Benki (mhusika), yeye mwenyewe au kwenye mjumuiko wa matokeo.
Thamani za kadi:
A – alama moja
10s, Js, Qs na Ks – alama 0
Kadi zingine zina thamani ya kwenye uso husika
Ni lazima mchezaji aweke ubashiri
Kadi mbili zinahusika kwa mchezaji na mhusika na kisha, kutegemeana na thamani ya alama zilizoshinda, kadi moja zaidi.
Endapo thamani iliyopokelewa itakuwa na jumla ya mpaka kufikia thamani ya zaidi ya 10, alam 10 zitapunguzwa na hivyo kufanya matokeo
Mchezaji anahusika na kadi ya tatu endapo jumla ya kadi ni 5 au pungufu
Mchezaji anabakiwa na kadi mbili endapo jumla ni 6 au 7
Mhusika hawezi kuchomoa kadi ya tatu endapo kadi za mchezaji zina jumla ya mpaka 8 au 9.