Home
KASINO
Treasure Island – Kasino ya Meridian

Treasure Island – Kasino ya Meridian


Hii ni moja kati ya gemu zilizokamilika za Kasino ya Meridianbet ikiwa na karibia kila kitu ambacho kinatakiwa kwa sloti ya kisasa.

Dhamira ni Maharamia na kila kitu kinachohusiana na wavamizi wakubwa wa bahari.

Alama za muhimu zaidi ni kompasi, kihifadhi hazina, Long John Silver, Jim Hawkins na picha za Captain Flint Pirate, vile vile mitungi ikiwa na vitu vinavyoweza kulipuka.

Tofauti na sloti zingine zote, kukiwa na mistari wima 3 ya malipo, hapa tuna 4. Kukiwa na kadri kubwa ya milolongo 40 ya ushindi, ambayo kiuhakika inachangia kwa kiasi kikubwa katika nafasi ya kushinda.

Alama ya Scatter ni kompasi na alama tatu za Scatter zinachagiza haki za kucheza moja kati ya Gemu 3 za Bonasi, Mizunguko ya Bure, idadi kubwa ya alama za ziada au Gemu ya Bonasi ya Treasure Hunt.

Treasure Hunt ni bonasi ya hazina inayochimbwa katika kisiwa. Wakati unaposhinda Bonasi hii unapokea visehemu 5 vyenye alama X. unapata nafasi ya kuchimba kwa ajili ya hazina mara mbili na thamani ambayo utaichimba inategemea bahati yako tu.

Wakati unapochagua Mizunguko ya Bure unapata mlolongo wa visiwa vikiwa na maeneno yaliyofichwa. Chagua moja baada ya nyingine, utapata bonasi ya nyongeza kwenye thamani ya kwanza wakati wa mizunguko ya bure, mpaka utakapofikia kisiwa “Start Free Spins” wakati ambapo Mizunguko ya Bure inapoanza.

Bonasi ni alama, na mizunguko ya bure na alama za nyongeza za Wild vilevile.


Alama za kawaida za Wild wakati wa gemu, au Jokers, ni kisehemu chenye dhahabu na imekuwa ni Stacked Wild katika gemu hii. Wanaweza kutokea kwenye moja, mbili, tatu lakini inawezekana kujaza mpangilio wote ukiwa na alama za Joker.

Pia kuna alama za TNT Wild. Wakati wa mizunguko ya bure ya kawaida, alama za TNT wild zinaishiwa kimtumbwi kutoka kwenye meli kwa nyuma yake, ambayo inailenga na kuiharibu mitungi ya TNT na kuzalisha idadi kubwa ya Jokers katika kioo.

Kuna chaguzi za nyongeza pia, zikiwa zile zinazotumika zaidi kuwa chaguzi ya Fast Play, ambalo litaongeza mwendokasi wa kila mzunguko.