Home
KASINO
Roulette ya Dhahabu ya Magurudumu Mengi – Kasino ya Meridian

Roulette ya Dhahabu ya Magurudumu Mengi – Kasino ya Meridian


Umeshacheza European Roulette? Umeshajaribu bahati yako na ya Kiamerika na sifuri mbili mbili? Umejaribu kucheza roulette mbili kwa wakati mmoja? Je, vipi kuhusu 8 kwa wakati mmoja?

 

Hii roulette inakuwezesha ufanye hayo! Micheduara minane ya kuzunguka kwa wakati mmoja, mahali ambapo wewe, kabla ya kubonyeza “spin”, unatumia mipangilio na kucheza kwenye meza moja, pangilia kichomekeo kwenye namba utakazo, kolamu na kisehemu cha 8 zote, na kisha zungusha gurudumu la bahati na utegemee kupata ushindi kutoka kwenye moja ya micheduara 8, angalau.

 

Bila shaka, ni rahisi kupata ushindi mara zaidi ya moja kwenye magurudumu yote nane.

Unapaswa kupangilia vipimo kabla ya kuanza. Kona ya chini kushoto inajumuisha chaguo la “Expert” ambalo, linapowashwa, linapangilia ni namba ngapi zinaoendana unataka kuzicheza. Zilizo maarufu ni “2 ya 2, 3 ya 3, 4 ya 4…”

Upande wa kulia unajumuisha chaguo la “Racetrack” ambapo, kucheza namba moja, unacheza namba ambazo zipo karibu yake. Kucheza kwa kila namba kunafanyika kwenye jedwali lililo katikati.

Ile “Zero, 5/8, Orphelis” ambayo ni maarufu kwenye chaguo la Racetrack katikati.


Mfano unaonesha Milolongo Mifupi (Small Series) maarufu au 5/8 iliyochezwa.

Tuna ushindi ukiwa na namba 8 kwenye mcheduara wa pili, ushindi na namba 27 kwenye ya sita na namba 10 kwenye ya nane. Kila ushindi unakusanywa na kuwekwa kwenye usajili. Kuna uchaguzi wa kurudia haraka.

Inaburudisha na kufurahisha, tofauti kutoka kwenye roulette nyinginezo. Yafaa kuijaribu, endapo umeshafanya roulette moja.