Msaada
Home
KASINO
Sloti ya Mtandaoni ya Dragons Myth – Kasino ya Meridian

Sloti ya Mtandaoni ya Dragons Myth – Kasino ya Meridian

Dragoni walikuwa ni wenye kufurahisha mara nyingi kwa aina tofauti za sloti kutokana na maumbile yao.

Kipindi cha nyuma tuliona idadi ya sloti ambazo majukumu yao makuu yaligawanywa kati ya aina zote za dragoni, iwe ni chanya au hasi.

Hata hivyo, wakati huu tunakutana na kitu ambacho ni kipya kabisa, ni “Dragon Myth” inayokupatia mlolongo wa matukio na aina za suluhisho, ikitoa aina mbalimbali za gemu za bonasi, namna mpya ya malipo ndani ya mistari ya malipo, na haijapata kuonekana aina hii kwenye gemu moja tu ya sloti. Shujaa wa gemu ni binti mwenye kichwa chekundu ambaye anakwenda kwenye hekaheka za kustaajabisha ili kukamata aina 4 za dragoni ambao wanatokea kwenye gemu, ambao wanashinda idadi ya alama.

Kuhusiana na gemu na njia za alama za ushindi, tutaanza na “standard part (sehemu ya kawaida iliyozoeleka)” ambapo inatakiwa, bila kujalisha mistari ya malipo, ili kupata mizunguko 3 zaidi au mizunguko ya bure zaidi ya alama katika muundo wa “Dragon Volcano”

Alama za mizunguko 3 ya bure inachakata mizunguko ya bure 10

Alama za mizunguko 4 ya bure zinachakata mizunguko ya bure 15

Alama za mizunguko 5 ya bure zinachakata mizunguko ya bure 20

Pia, wakati wa gemu, alama ya Wild (Joker) inatokea katika mfumo wa msichana mwenye kichwa chekundu. Ni anayechukua nafasi zote za alama kwenye mistari 20 ya malipo, isipokuwa, kwa hakika, Mizunguko ya Bure, Alama za Bonasi na Alama za Shoot.

Nini kipya? Kuna habari nyingi sana pale linapokuja suala la kushinda kwa ukubwa na mara kwa mara kujipatia idadi ya alama.

Tuanzie kutokea juu. Wakati wa gemu, kuna kisehemu maalumu ambacho hujitokeza kwenye mpangilio wa mwisho katika mfumo wa mche, ambapo ni muhimu kukamata moja kati ya dragoni nne, kitu ambacho kinakushindisha alama ya ziada. Kwa kukusanya dragoni wote wanne utashinda zawadi maalumu (mizunguko ya bure inashindaniwa kwenye picha hii, na dragoni mwekundu anakamatwa).

Let’s start from the top. During the game, a special field appears in the last reel in the form of bars, where it is necessary to catch one of the four dragons, which wins extra points. By collecting all four dragons you win a special award (Free spins are won on this image, and the red dragon is captured).


Kama ilivyo kwa sloti zote, ni muhimu kushinda alama kwenye mipangilio kutoka kushoto kwenda kulia. Hata hivyo, wakati wa mizunguko ya bure, kwa kuwa na sloti hii, inawezekana kushinda alama kwenye uelekeo wowote, kutoka kushoto kwenda kulia na kutoka kulia kwenda kushoto

Baada ya kushinda mizunguko 3 au zaidi ya alama za bure, na nyongeza ya alama za ushindi kwenye mielekeo yote, kuna uwezekano wa alama moja au zaidi kutokea, na hiyo ndiyo alama ya Bonasi (kwenye picha ya pili katika mpangilio wa mwisho).


Endapo ikitokea kwenye mzunguko wa bure ile alama ya Bonasi inaongeza mzunguko wa alama 3 za mizunguko ya bure kwenye ile iliyosalia na kupelekea kwenye Mlima wa Dragoni ambapo utaendelea na ile mizunguko ya bure lakini utashinda alama nyingine, ambayo ni alama ya Fixed Wild.

Unapangilia alama ya Fixed Wild wewe mwenyewe, hii ni kuwa, unapokea haki za kupangilia alama za Wild, Joker kwenye mizunguko iliyosalia kwenye visehemu kadhaa vyenye alama tambuzi. Pia, wakati wa Bonasi, inawezekana kupata alama moja au zaidi ya bonasi, ambayo kiutendaji inamaanisha kuwa ni mipangilio moja zaidi ya Fixed Joker wakati wa mzunguko.

Kamari pia ni moja ya chaguzi ndani ya gemu, lakini tofauti na gemu zingine ambapo unajitwalia kati ya kadi nyekundu na nyeusi, hapa, unakuwa unatwaa kati ya yai la njano au la bluu la dragoni.

Kamwe gemu haitokukera. Gemu kibao za bonasi za kukufurahisha, aina tofauti ya mfumo wa kupata alama ambapo, ni hakika mwanzoni utapata nafasi ya kupumua na kuona ni nini kilikosekana kwa ushindi mkubwa, ni hakika kuwa itavuta akili yako na kukufanya uzungushe zaidi na zaidi, na kufanya mambo yawe sawa sawia, ina muonekano bomba, dhamira inayofurahisha na kupendeza na sauti nzuri sana wakati wa gemu.

Kitu kingine ambacho ni muhimu, uwiano mkubwa umewekwa kati ya urefu wa kucheza na kupata alama. Utacheza na alama zitarudi, na pamoja na bahati kidogo, utapata ushindi kwa kishindo.