Home
KASINO
Je, kuna ukomo wa muda wa matumizi yangu ya mizunguko ya bure?

Je, kuna ukomo wa muda wa matumizi yangu ya mizunguko ya bure?

Mizunguko yote ya bure iliyopokelewa inaweza kutumika kwa kadri ya muda na wakati uliotajwa. Kama sivyo, mizunguko itakuwa batili na kuisha muda wake bila ya kuwa na uwezekano wa kuirejesha. Kuwa makini na muda wa ukomo wa mizunguko hiyo kwa kutazama kwenye ukurasa wa kwanza wa taarifa baada ya gemu kuanza ili kuzuia muda wa kuisha kwa mizunguko.