Home
KASINO
Mizunguko ya Bure – Kasino ya Meridian

Mizunguko ya Bure – Kasino ya Meridian

Ingia kwenye akaunti yako kisha Kasino. Kwenye kipengele cha Sloti, tafuta Sloti ambayo kwayo umepokea Mizunguko ya Bure.

Utakapoingiza aina ya gemu uliyochagua, punde tu unapewa ofa ya kutumia Mizunguko ya Bure, baadaye, au kuzikataa. Endapo utaikataa hiyo Mizunguko ya Bure hautokuwa na uwezo wa kuitumia tena.

Haushurutishwi kuitumia kwa wakati huo huo, hivyo unaweza kuchagua aina ya Baadaye (Later).

Endapo ukichagua kutumia Mizunguko ya Bure mara tu unapoipata, kila kitu kinakuwa tayari, idadi ya mistari na aina ya beti ambayo Mizunguko ya Bure ni halali, unachotakiwa kufanya ni kuanzisha mizunguko ya bure ambayo tumekupatia.

Wakati wa Mizunguko ya Bure, endapo unataka kufahamu ni mingapi iliyosalia, tumia menyu ya upande wa kulia, ambayo itakuonesha idadi ya mizunguko iliyosalia.