Alama inayochukua nafasi ya alama zote kwenye mchezo isipokuwa alama ya mtawanyiko. Jokeri.
Unaweza kuona thamani ya alama ya mwitu (Wild Symbol) au jokeri kwenye kila mchezo sehemu ya Malipo.
Kwa urahisi, ni alama ambayo inabadilisha alama zingine zote kwenye mchezo, kasoro alama mtawanyiko (Scattered Symbol)
Kila unachokifanya kwenye kasino, kinaonekana kwenye kipengele cha Akaunti yangu
Mizunguko yote ya bure inatakiwa kutumika ndani ya muda uliotajwa.
Jakipoti ni ushindi mkubwa duniani unaonekana kwa euro
Kabla mchezaji hajaanzisha mchezo, ni muhimu kuijua miongozo muhimu inayohusiana na michezo yote ya sloti kwenye tovuti, lengo ni kurahisisha utumiaji wa tovuti.
‘Ukubwa wa sarafu’ ni thamani ya pesa, na ‘sarafu’