Jinsi ya kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwenda kwenye simu
MUHIMU: Utaweza kutoa pesa kwa namba simu uliotumia kuweka pesa pekee.
- Hatua ya 1: Bonyeza kwenye My Account (Akaunti Yangu)
- Hatua ya 2: Chagua Kuweka/Kutoa (Deposit/Withdraw)
- Hatua ya 3: Chapa sehemu ya kiasi kuweka kiasi cha pesa unachotaka kutoa (shilingi za Kitanzania)
- Hatua ya 4: Chagua aina ya malipo: Chagua Mtandao
Inaweza kuchukua mpaka muda wa masaa 24 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako ya M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Selcom Huduma na Halopesa.