Home
MAARUFU
Ninawezaje kutengeneza akaunti ya mtandaoni?

Ninawezaje kutengeneza akaunti ya mtandaoni?

Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.

Jaza fomu. Ingiza taarifa binafsi na nyaraka za akaunti kwenye fomu. Tafadhali hakikisha kwamba unaingiza taarifa sahihi kwa kadri ya nyaraka zako za utambulisho. Barua pepe yako ni lazima iwe ni halali na inafanya kazi, baada ya kujaza fomu, kamilisha usajili wako kwa kubonyeza Register (Jisajili).

Barua pepe itatumwa kwenye jumbe zako ikiwa na linki kwa ajili ya kuiwezesha akaunti yako. Bonyeza kwenye linki ya kuiwezesha ili uweze kuiwezesha akaunti yako. Baada ya kuwa umeshabonyeza kwenye linki hiyo, utapokea ujumbe wa kukujulisha kwamba akaunti yako ya Meridianbet imefanikiwa kuwezeshwa. Akaunti namba yako imejumuishwa kwenye barua pepe ya mwisho.

Kwa maswali yote ya ziada au msaada, tafadhali wasiliana na Kitengo cha Huduma kwa Wateja.