Home
MAARUFU
KENO

KENO

 

MAELEZO YA MCHEZO:

  • Kubashiri kwenye namba
  • Mipira 80 inawekwa kwenye dumu, kuanzia 1 mpaka 80. Katika kila droo, mipira 20 inachomolewa katika dumu.

Aina za beti

Unaweza kukisia ni namba gani itachomolewa kwa namna hizi zifuatazo:

  • Keno – unapata ushindi hata kama ukizikosa baadhi ya namba. Mchezaji anachagua namba 2-10 ambazo anafikiri zitatokea, na ushindi unategemea ni namba kiasi gani zilizoingia na namba kiasi gani zilizopatiwa (kiasi gani zilizotolewa).
  • No Draw (Zisitokee) – unaweza kubeti kwamba namba ulizochagua zisitokee, unaweza kubeti kwenye 1 mpaka 10.
  • All In (Zote Ziwepo) – aina ya kubeti ambapo unachagua namba 1-6 na kubashiri kwamba kwenye raundi inayofuatia namba zote zitatolewa. Ni lazima upate namba zote.
  • Risko – hii ni namba inayotolewa kila mwishoni mwa kila droo na inaweza kuwa ni 0.5, 1, 2 au 5. Inaonesha ni mara ngapi ushindi wako unaongezeka au kupungua endapo unachagua kutumia Risko kwenye tiketi.

BETI MPYA

  • Jumla ya namba zilizotolewa – mchezaji anabeti kwamba jumla ya namba zote zitakazotoka kwenye raundi moja zitakuwa ni zaidi ya 810 au sio.
  • Jumla ya namba 5 za kwanza mchezaji anabeti kwamba jumla ya namba 5 za kwenye raundi moja itakuwa ni 202 au sio. Skrini zitatoa matokeo sasa ikijumuisha kolamu ya 5 za Kwanza na jumla ikiwa na hizi jumla ili wachezaji waweze kukagua matokeo yao kiurahisi.
  • Namba ya kwanza UO – mchezaji anabeti kwamba namba ya kwanza kutolewa itakuwa ni zaidi ya 40 au sio.
  • Namba ya kwanza shufwa/witiri – mchezaji anabeti kwamba namba ya kwanza kutoka itakuwa ni witiri au shufwa.
  • Namba ya kwanza iwe ni yenye tarakimu moja – mchezaji anabashiri kwamba namba ya kwanza itakuwa ni zaidi ya 10 au sio.
  • Namba ya mwisho UO – mchezaji anabashiri endapo namba ya mwisho kutolewa itakuwa ni zaidi ya 40 au sio.
  • Namba ya mwisho shufwa/witiri – mchezaji anabeti kwamba namba ya mwisho kutoka iwe ni shufwa au witiri.
  • Namba ya mwisho iwe ni yenye tarakimu moja – mchezaji anabeti kwamba namba ya mwisho kutolewa itakuwa ni zaidi ya 10 au sio.

MACHAGUO MAPYA

  • Bila ya mpangilio
  • Kwa kupeleka kitufe juu ya Bila ya Mpangilio (Random) kutakuja kisehemu ambapo mchezaji anaweza kuchagua gemu anayoitaka kuibetia kwa namna hii (Keno, Isitokee au Zote Zitokee) na namba bila mpangilio ngapi anazotaka kuzibetia. Unapoanza tu imejiweka kwenye Keno na namba 5 lakini mchezaji anaweza kubadilisha hilo wakati wowote. Pale ambapo mchezaji anabadilisha mipangilio inahifadhiwa ikiwa na mchezaji huyu na wakati mwingine atakapoingia tena itaanza kwa kuwa na machaguo mapya ambapo ,mchezaji ataona mipangilio yake.
  • Kujichezesha
  • Endapo mchezaji atapitisha mpaka kwenye kitufe cha Kujichezesha (Auto play) kwa kutumia kipanya chake itaonekana chaguo la badala ya droo moja tu inaweza kubetia kwenye muunganiko wa namba zilizochaguliwa kwenye tiketi hiyo hiyo kwa idadi kadhaa ya kutolewa kwa mara moja. Kwa mwanzo kabisa unaona namba 5 lakini mchezaji anaweza kuibadili kutoka 2 mpaka 10.

Sharia

  • Kwenye KENO mara zote unabashiri namba inayofuatia na kubashiri inawezekana mpaka kuanza kwa droo ya namba.
  • Tangu kuanza kwa droo beti zote zinahusishwa na droo inayofuatia. Endapo huna uhakika na droo ambayo tiketi yako inahusishwa kwayo, linganisha idadi ya droo kutoka kwenye tiketi yako na namba za kwenye skrini.
  • KENO inaweza kujumuishwa na ofa zingine bila ya kizuizi. Unaweza kubashiri kwenye pea nyingi kutoka kwenye orodha na kuongeza namba kutoka kwenye KENO. Katika kila tukio unaweza kuweka namba ya Risko kwenye tiketi.

Unachezaje KENO?

Hatua ya 1

Picha hapa chini inaonesha muonekano wa KENO. Kwenye upande wa juu kona ya kushoto namba zimewasilishwa kwa mpangilio wa zile ambazo zinatokea kwa wakati huo, wakati upande wa kulia namba kutoka 1-80 zinazooneshwa ambapo mchezaji anaweza kuchagua namba kwa ajili ya beti inayofuatia.

Meidian Kladionica - Brojevi

Hatua ya 2

Kwa upande wa kushoto, chini ya namba zilizotolewa kuna chaguo la kubetia gemu mpya.

Meidian Kladionica - Brojevi

Hatua ya 3

Chini ya picha, mchezaji anaweza kuchagua kutoka kwenye beti tatu kuu: Keno, Isitokee, na Zote Zitokee. Zaidi, kuna kitufe cha Bila Mpangilio na Kujichezesha, vile vile kitufe cha kuhakiki au kukata mchezo.

Meidian Kladionica - Brojevi

Hatua ya 4

Kwenye picha ifuatayo kwenye sehemu ya ODDS, imepangwa kwa ushindi kwenye kila mfumo unaweza kutumia pia na vile vile kwa Zote Zitokee na Isitokee. Kwa mfumo wa kolamu P idadi ya kulenga inaingizwa, na kwenye kolamu Odds, odds zilizoshinda, endapo una idadi ya namba za kulenga zilizoelezewa kwenye kolamu P.

Jedwali la ushindi kwa Zote Zitokee – inakuletea odds za ushindi endapo ukikisia namba ulizobetia, ambapo P ni idadi ya namba unazobetia.

Jedwali la ushindi wa Isitokee – odds kwa namba ambazo hazitotolewa (endapo namba yoyote uliyochagua ni ISITOKEE na ikatokea, tiketi yako imepoteza).

Meidian Kladionica - Brojevi

Hatua ya 5

Jedwali la TAKWIMU linakuletea taarifa juu ya droo iliyopita kwa namba zote 20, vile vile kwa: Jumla ya 5 za mwanzo, jumla ya namba zote zilizotolewa. Katika jedwali hili kila taarifa kwenye droo ya mwisho inaweza kuonekana vile vile mtiririko wa droo zilizorudiwa na namba ambazo hazijatokea.

Meidian Kladionica - Brojevi