Inaweza kuchukua hadi dakika 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kama unahitaji maelezo yeyote ya ziada, usisite kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
Hapana, pesa iliyolipwa kwa tovuti inaweza kutumika kwa kubetia michezo, kubetia inayoendelea, KENO, beti za bure au kasino.
Tutumie picha ya MESEJI yako ya malipo kwa info@meridianbet.co.tz ili tuweze kukamilisha malipo hayo.
Unaweza kulipia mkeka kwa namba yako pekee na akaunti ya TIGO Pesa.
Wasiliana na kitengo chetu cha Huduma kwa Wateja kwa masuala yoyote yanayohusiana na M-PESA.