Ukiwa umeshaandaa tiketi yako kwa USSD utatumiwa kumbukumbu namba yako. Bonyeza *150*01#, chagua kulipia bili na uandike namba ya kampuni 777111 pamoja na kumbukumbu namba ambayo ilitumwa kwako kwa njia ya sms.