USSD ni tofauti kabisa na akaunti ya Meridianbet.co.tz kwa tovuti au app.
Ili kuweka pesa kwenye waleti ya USSD tafadhali weka namba ya biashara kuwa 777111 ukiwa na namba yako ya simu kama namba ya kumbukumbu ya malipo.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
USSD Jackpot Terms and Conditions
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Airtel Money
Unaweza kulipia mkeka kwa namba yako pekee na akaunti ya TIGO Pesa.
Weka machaguo yako ya mkeka na ulipie tiketi yako moja kwa moja kutoka Tigo Pesa