Home
KUBASHIRI KWA USSD *149*10#
Kuweka pesa kwenye akaunti ya USSD kwa TIGO Pesa

Kuweka pesa kwenye akaunti ya USSD kwa TIGO Pesa

Kuweka pesa kwenye waleti ya USSD unabonyeza *150*01#, chagua kulipia bili na kisha weka namba ya kampuni ambayo ni 777111. Kumbukumbu namba ni namba yako ya TIGO Pesa (mfano: 255….)

 

Kumbuka: Waleti yako ya Meridianbet USSD ni tofauti kabisa na Meridianbet.co.tz