Sheria za gemu:
Unatakiwa kubashiri kutakuwa na mizunguko mingapi kwenye mechi hiyo. Mzunguko unahesabiwa pale tu ambapo unakamilika wote. Endapo mzunguko haujamilika kwa sababu yoyote ile (knockout (kupigwa), submission (kujitoa), disqualification (kutokuwa na vigezo) haihesabiki kwenye jumla ya idadi ya mizunguko kwenye mechi.