Home
AINA ZA BASHIRI
Maalum

Maalum

Sheria ya Dead Heat:
Dau litagawanywa kwa idadi ya washiriki wenza na kuzidishwa kwa odd za kawaida kutoka kwenye ticket
Game of Thrones - Maalum

Beti ya ushindi ni lazima ibashiri ni nani ataongoza falme zote saba za Westeros kama kiongozi wa kwenye Iron Throne mwishoni mwa mlolongo wa onesho la televisheni hiyo.

Endapo Iron Throne, mwishoni mwa mlolongo wa onesho hilo, atakuwa na aina zaidi ya moja ya uhusika, sheria ya Dead Heat itatumika.

Endapo onesho la televisheni la Game of Thrones litakwisha kukiwa hakuna mtawala kwenye Iron Throne, bashiri zote zitakuwa batili (odd 1.00).
Mbio za Farasi
Pale ambapo mbio zitakwisha kukiwa na farasi 5 au pungufu yake, bashiri zote zilizo kwenye Place English, Place American na Show American zitakuwa ni batili.
Trump kuwepo madarakani mwaka mzima:
Unatakiwa kubashiri endapo Donald Trump atakaa madarakani kama rais wa Marekani mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2017.
Donald Trump kutolewa/kujiuzulu:
Bashiri inashinda endapo Donald Trump atatolewa au kujiuzulu kipindi cha mwaka 2018 au 2019.
Ukuta wa US/MEX:
Bashiri inashinda endapo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2017 ujenzi wa ukuta kati ya Marekani na Mexico utaanza.
Trump kusalia muhula wote:
Bashiri inashinda endapo Donald Trump anasalia kama rais wa Marekani mpaka kufikia mwishoni mwa majukumu yake.
Trump kuitoa Marekani kwenye UN
Bashiri inashinda endapo Marekani itajitoa kwenye uanachama wa UN mpaka kufikia mwishoni mwa 2020.
Trump kuitoa Marekani kwenye NATO
Bashiri inashinda endapo Marekani inajitoa kweye uanachama wa NATO mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2020.
Trump kuitembelea Serbia
Bashiri inashinda endapo Donald Trump ataitembelea Serbia kwa masuala ya kiofisi akiwa kama rais wa USA.
Trump kuitembelea Guca
Bashiri inashinda endapo Donald Trump anakwenda kwenye sherehe za Guca wakati akiwa kama rais wa USA.
Trump kuitembelea Korea Kaskazini
Bashiri inashinda endapo Donald Trump anaitembelea Korea Kaskazini kwa masuala ya kiofisi akiwa kama rais wa USA.
Trump kuoa kwa mara ya 4
Bashiri inashinda endapo Donald Trump anaoa kwa mara ya 4 katika muda wa mwanzo (muda sahihi wa harusi).
Trump kuifungua tena Alcatraz
Bashiri inashinda endapo Alcatraz itatumika kama jela ya jimbo kwa mara nyingine wakati wa uongozi chini ya Donald Trump.

Maalum kwa Angela Merkel

MERKEL KUWA CHANSELA BAADA YA UCHAGUZI WA MAJIMBO WA 2017
Sheria ya gemu: Unatakiwa kubashiri kama Angela Merkel atakuwa ni Chansela wa Ujerumani baada ya uchaguzi wa Majimbo mwaka 2017.

Maalum kwa Kombe la Dunia FIFA 2018

 

Mshindi wa Kombe la Dunia FIFA 2018 Mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni kwa namna gani timu fulani itashinda hatua za mtoano wa aina fulani mpaka ushindi.

1       Mshindi

2       Anayefuatia kwa mshindi wa kwanza (anayefikia fainali)

1-2    Watakaoingia fainali

3       Nafasi ya tatu

1-4    Watakaoingia nusu fainali

3-4    Mtoano kwenye Nusu Fainali

1-8    Robo Fainali

5-8    Mtoano kwenye Robo Fainali

9-16  Mtoano kwenye Mzunguko wa 16

Atakayeshinda Medali Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu gani itashinda nafasi mojawapo kwenye zile tatu za kwanza kwenye Kombe la Dunia 2018

Timu Bora kwa Bara Kombe la Dunia FIFA bashiri ni timu ipi kati ya zilizotajwa kutoka kwenye bara fulani zitakuwa na nafasi nzuri kwenye Kombe la Dunia 2018. Endapo timu mbili au zaidi zitatolewa kwenye hatua moja ya michuano, ikiwa kama ni timu iliyowekwa kwenye nafasi nzuri, itahesabiwa kwa kuzingatia umuhimu wa:

1. timu ambayo imeshinda alama nyingi zaidi

2. timu ambayo ina nafasi nzuri kwenye tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa

3. timu ambayo imefunga magoli mengi

Timu Bora kwa Lugha ya Mazungumzo Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi kati ya zile zinazoongea aina fulani ya lugha zitafikia hatua nzuri kwenye Kombe la Dunia 2018. Endapo timu mbili au zaidi zitatolewa kwenye hatua moja ya michuano, ikiwa kama ni timu iliyowekwa kwenye nafasi nzutri, itahesabiwa kwa kuzingatia umuhimu wa:

1. timu ambayo imeshinda alama nyingi zaidi

2. timu ambayo ina nafasi nzuri kwenye tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa

3. timu ambayo imefunga magoli mengi

Timu Bora katika Eneo Kimazingira bashiri ni timu gani kati ya zilizotajwa kutoka katika eneo fulani la kimazingira zitaingia kwenye nafasi nzuri zaidi ya Kombe la Dunia 2018. Endapo timu mbili au zaidi zitatolewa katika hatua moja ya michuano, ikiwa kama ni timu ambayo imewekwa kwenye nafasi nzuri, inahesabika kwa kuzingatia umuhimu ufuatao:

1. timu ambayo imeshinda alama nyingi zaidi

2. timu ambayo ina nafasi nzuri kwenye tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa

3. timu ambayo imefunga magoli mengi

Mshindi wa Bara Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni bara lipi ambalo mshindi wa Kombe la Dunia FIFA 2018 atatokea.

Timu Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi kati ya zilizoorodheshwa zikiwa mbili mbili zitakuwa na nafasi nzuri zaidi kwenye Kombe la Dunia 2018. Endapo timu mbili au zaidi zitatolewa kwenye hatua moja ya michuano, inahesabiwa kwenye umuhimu kama ifuatavyo:

1. timu ambayo imeshinda alama nyingi zaidi

2. timu ambayo ina nafasi nzuri kwenye tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa

3. timu ambayo imefunga magoli mengi

Endapo timu zitakuwa sawa katika kila kitu basi kanuni ya Dead Heat itatumika.

Kona Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu gani itajipatia kona nyingi zaidi kwenye muda wa kawaida pamoja na muda wa ziada (endapo itatokea) kwenye mechi zote za michuano ya Kombe la Dunia 2018.

Magoli Kombe la Dunia FIFA 2018 ni timu gani ambayo itafunga magoli mengi zaidi kwenye muda wa kawaida na muda wa ziada (endapo itatokea) kwenye mechi zote za michuano ya Kombe la Dunia 2018.
​*magoli yanayofungwa kwa penati hayatohesabika

Penati Kombe la Dunia FIFA 2018 ni timu gani ambayo itajipatia penati nyingi zaidi katika muda wa kawaida wa mechi, inajumuisha muda wa ziada endapo itatokea.
*magoli yanayofungwa kwa penati wakati wa penati husika hayatohesabiwa

Kadi Nyekundu Kombe la Dunia FIFA 2018 ni timu gani ambayo itapata kadi nyekundu nyingi zaidi kwenye muda wa kawaida wa mechi, ikijumuisha muda wa ziada endapo itatokea
*kadi nyekundu zitakazotolewa baada ya mechi kuisha, pamoja na kadi nyekundu kwa mameneja wa timu na wahusika wengine hazitohesabiwa

Kadi za Njano Kombe la Dunia FIFA 2018 ni  timu gani ambayo itapata kadi za njano nyingi zaidi katika muda wa kawaida wa mechi, ikijumuisha muda wa ziada endapo itatokea.
*kadi za njano zitakazotolewa wakati mechi imekwisha ama kwa mameneja wa timu na wahusika wengine hazitohesabiwa

Wafungaji Magoli Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima uwe umebashiri kwamba mchezaji gani katika wawili wawili wanaotajwa atafunga mabao mengi zaidi kwa ujumla kwenye michuano ya Kombe la Dunia. Magoli yatakayofungwa wakati wa penati hayatohesabika.

Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni kundi lipi kati ya yaliyotajwa yatafunga magoli mengi zaidi, kona nyingi zaidi, au kadi za njano nyingi zaidi wakati wa Kombe la Dunia 2018.

Kutolewa kwa Penati Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri kwamba ni timu fulani ambayo itatolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia baada ya kupigwa penati.

Kona ya Kwanza kwenye Mechi ya Fainali Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri kwamba ni timu gani kati ya zilizotajwa zitaanza kupiga kona ya kwanza kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2018.

Kuanza kwa Mechi ya Fainali Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu gani itaanzisha mpira kwenye mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018.

Mshindi wa Mara ya Kwanza Kabisa Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri kwamba timu fulani itakuwa ndiyo mshindi wa Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kwenye historia duniani.

Maalum kwa Magoli Kombe la Dunia FIFA 2018

  • Golikipa afunge mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri kwamba angalau golikipa mmoja afunge goli kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa timu yake (Penati hazihesabiwi)
  • Goli la kujifunga  mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni angalau mchezaji mmoja atajifunga goli mwenyewe kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018 (Goli la kujifunga wakati wa kulinda goli au uwanjani litachukuliwa kama ni goli binafsi la kujifunga).

Atakayefunga Goli la Kwanza Mechi ya Fainali Kombe la Dunia FIFA 2018 ni mchezaji gani atakayefunga goli la kwanza kwenye gemu ya fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018.

Refa Atakayechezesha Fainali Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni refa gani ambaye atachezesha mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018.

Nafasi kwenye Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri nafasi za ushindi katika hatua ya makundi:

1 mshindi wa kundi

2 nafasi ya pili kwenye kundi

3 nafasi ya tatu kwenye kundi

4 nafasi ya nne kwenye kundi

1-2 kushinda nafasi ya kwanza au ya pili kwenye kundi

3-4 kushinda nafasi ya tatu au ya nne kwenye kundi

Kufuzu – Kwenye 16 Bora

Utabiri wa Kundi Kombe la Dunia FIFA 2018 ni lazima ubashiri ni timu zipi hasa ambazo zitakamata nafasi ya kwanza na ya pili kwenye kundi (cheza 12, 21), yaani ni timu zipi mbili ambazo zitachukua nafasi mbili za kwanza kwenye kundi (bashiri zote)

Watatu wa Kundi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni nani atakuwa wa kwanza, wa pili na wa tatu kwenye kundi.

Nafasi ya Tatu Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka urtakaoshinda ni lazima ubashiri ni timu gani itakuwa nafasi ya 3 kwenye kundi tajwa kufuzu kwenye 16 bora.

Mechi Yenye Mabao Mengi Zaidi Kombe la Dunia Makundi FIFA 2018 bashiri kwenye mechi ipi ambapo kutakuwa na magoli mengi zaidi kwenye kundi

Timu Yenye Magoli Mengi Zaidi Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi itakayotoa magoli mengi zaidi kwenye kundi.

Timu Yenye Magoli Machache Zaidi Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi itakuwa na magoli machache zaidi kwenye kundi.

Timu Yenye Magoli Mengi Zaidi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi itafunga magoli mengi zaidi kwenye michuano ya Kombe la Dunia (magoli ya penati hayahesabiki).

Timu Yenye Magoli Mengi Zaidi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi ambayo itakuwa na magoli machache kwenye Kombe la Dunia.

Timu Itakayofungwa Magoli Mengi Zaidi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri ni timu ipi ambapo itafungwa magoli mengi zaidi kwenye Kombe la Dunia 2018 (penati hazihesabiwi).

Kundi Lenye Magoli Mengi Zaidi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni kundi lipi ambalo litafunga magoli mengi katika hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2018.

Kundi Lenye Magoli Machache Zaidi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni kundi lipi ambalo litakuwa na magoli machache zaidi katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2018.

Alama kwenye Kundi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri kwamba ni alama kadhaa ambazo timu itashinda katika hatua ya makundi.

Jumla ya Magoli Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni magoli mangapi yatafungwa kwenye Kombe la Dunia.

Jumla ya Magoli Mechi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka utakaoshinda ni lazima ubashiri ni magoli mangapi ambayo yatafungwa kwenye mechi za kundi fulani.

Jumla ya Magoli Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka ambao utashinda ni lazima ubashiri ni magoli mangapi ambayo yatafungwa kwenye kundi kwenye mechi zote za hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Magoli ya Timu katika Kundi kushinda lazima ubashiri magoli mangapi yatafungwa na timu husika katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Magoli ya Kundi kushinda lazima ubashiri magoli mangapi yatafungwa na timu husika. (Penati mfululizo hazitahesabiwa).

Kombe la Dunia FIFA 2018 Kufunga Hat-Trick kushinda lazima ubashiri mchezaji fulani atafunga magoli matatu au zaidi katika mechi moja.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Goli la Mapema kushinda lazima ubashiri timu itakayofunga goli la mapema zaidi katika Kombe la Dunia.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Magoli ya Kundi Maalum mkeka ambao utashinda ni lazima ubashiri ni magoli mangapi ambayo yatafungwa kwenye muunganiko wa kundi husika (magoli yanayofungwa kwenye kundi yanajumlishwa)

Kombe la Dunia FIFA 2018 Sare katika Kundi kushinda lazima ubashiri mechi ngapi zitamalizika kwa sare.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Kundi lenye Magoli Mengi kushinda lazima ubashiri makundi husika yatakayofunga idadi kubwa ya magoli. Kama makundi yapo sawa katika jumla ya magoli, kanuni ya Dead Heat itatumika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati za Timu kushinda lazima ubashiri idadi sahihi ya penati zilizotolewa kwa timu husika. (Mikwaju ya penati haitahesabika).

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi Nyekundu katika Timu kushinda lazima ubashiri idadi sahihi ya kadi nyekundu zilizotolewa kwa timu husika katika michuano ya Kombe la Dunia 2018. Kadi nyekundu zitakazotolewa baada ya mpira kumalizika au kwa Kocha Mkuu na kiongozi yoyote katika benchi hazitahesabiwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Timu yenye Kadi Nyekundu Nyingi kubashiri timu ipi itapata kadi nyekundu nyingi. Kadi nyekundu zitakazotolewa baada ya mechi kumalizika kwa kocha au kiongozi yeyote hazitahesabika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Timu yenye Kadi Nyingi za Njano bashiri timu ipi itapata kadi nyingi za njano katika Kombe la Dunia 2018. Kadi za njano zitakazotolewa baada ya mechi kumalizika, kwa kocha au kiongozi yeyote hazitahesabika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Penati Nyingi Zilizookolewa bashiri golikipa yupi kati ya waliopo ataokoa penati nyingi katika Kombe la Dunia 2018. (Mikwaju ya penati haitahesabiwa).

Kombe la Dunia FIFA 2018 MVP unaweza kubashiri mchezaji gani atakuwa MVP katika Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 majina ya watakaoingia fainali kushinda lazima ubashiri timu zitakazocheza fainali katika Kombe la Dunia 2018

Kombe la Dunia FIFA 2018 Utabiri wa Moja kwa Moja kushinda lazima ubashiri nani atashinda Kombe la Dunia 2018, na mshindi wa pili.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Mfungaji Bora bashiri mchezaji gani atazawadiwa tuzo ya mfungaji bora na FIFA. Kama wachezaji zaidi ya mmoja watatangazwa kama mfungaji bora, kanuni ya Dead Heat itatumika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Magoli ya Mfungaji Bora bashiri magoli mangapi yatafungwa na mfungaji bora katika Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Msaidizi Bora kushinda lazima ubashiri mchezaji atakayepewa tuzo ya msaidizi wa magoli Kombe la Dunia 2018 na FIFA. Kama wachezaji wawili au watafuzu, kanuni ya “Dead Heat” itatumika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Mfungaji Bora wa Timu bashiri mchezaji gani atafunga magoli mengi kwa timu yake. Kama wachezaji watafungana kwa idadi sawa ya magoli, kanuni ya Dead Heat itatumika.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Idadi ya Mechi Bila Magoli kushinda lazima ubashiri mechi ngapi zitamalizika kwa 0-0.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Penati katika Hatua ya Makundi bashiri penati ngapi zitatolewa katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Penati katika Makundi Bashiri penati ngapi zitapigwa katika moja ya makundi yaliyoorodheshwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati katika 16 Bora bashiri penati ngapi zitapinga katika mechi 1/8 kwenye Kombe la Dunia 2018. Penati za baada ya mchezo hazitahesabiwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati Robo Fainali bashiri penati ngapi zitapigwa katika mechi za ¼ kwenye Kombe la Dunia 2018. Penati baada ya dakika 90 hazitahesabiwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati Nusu Fainali bashiri penati ngapi zitapigwa katika mechi za 1/2  kwenye Kombe la Dunia 2018. Penati baada ya dakika 90 hazitahesabiwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati Hatua ya Makundi bashiri ni magoli mangapi yatafungwa moja kwa moja kwa penati katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati Zilizookolewa bashiri ni penati ngapi hazitofungwa katika mechi zote za Kombe la Dunia. Mfululizo wa penati hauhesabiwi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Penati Zilizookolewa Hatua ya Makundi bashiri ni penati ngapi hazitofungwa katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi Nyekundu Hatua ya Makundi bashiri ni kadi nyekundu ngapi ambazo zitapatikana katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Kadi Nyekundu Hatua ya Makundi bashiri ni kadi ngapi nyekundu zitapatikana katika moja ya makundi yaliyotajwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi Nyekundu Hatua ya 16 Bora bashiri idadi ya kadi nyekundu ambazo zitatolewa katika mechi 1/8 za Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi Nyekundu Robo Fainali bashiri idadi ya kadi nyekundu ambazo zitatolewa kwenye mechi 1/4 za Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi Nyekundu Nusu Fainali bashiri idadi ya kadi nyekundu ambazo zitatolewa kwenye mechi 1/2 za Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi za Njano Hatua ya Makundi bashiri ni kadi ngapi za njano ambazo zitapatikana katika hatua ya makundi.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Kadi za Njano kwa Makundi bashiri ni kadi ngapi za njano zitapatikana katika moja ya makundi yaliyotajwa.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi za Njano 16 Bora bashiri idadi ya kadi za njano ambazo zitatolewa katika mechi 1/8 za Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi za Njano Robo Fainali bashiri idadi ya kadi za njano ambazo zitatolewa kwenye mechi 1/4 za Kombe la Dunia 2018.

Kombe la Dunia FIFA 2018 Jumla ya Kadi za Njano Nusu Fainali bashiri idadi ya kadi za njano ambazo zitatolewa kwenye mechi 1/2 za Kombe la Dunia 2018.

Jumla Kombe la Dunia FIFA 2018 – bashiri kuwa:

Jumla ya kadi za njano katika mechi zote zilizochezwa Kombe la Dunia

  • Jumla ya kadi nyekundu katika mechi zote zilizochezwa Kombe la Dunia
  • Jumla idadi ya mechi zote zilizomalizika kwa sare Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kuotea katika mechi zote zilizochezwa Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kona katika mechi zote zilizochezwa Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya hat tricks katika mechi zote Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya penati zilitolewa katika mechi zote Kombe la Dunia
  • Jumla ya Idadi ya magoli ya kujifunga katika mechi zote Kombe la Dunia
  • Jumla ya mechi zilizomalizika baada ya mfululizo katika Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya mechi zilizomalizika baada ya muda wa ziada katika Kombe la Dunia

Maalum kwa Jumla FIFA 2018 – bashiri kuwa:

  • Jumla ya idadi ya kadi za njano katika mechi zilizochezwa katika hatua ya makundi Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kadi nyekundu katika mechi zilizochezwa katika hatua ya makundi Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kuotea katika mechi za hatua ya makundi Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kona katika mechi kwenye hatua ya makundi Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya penati katika mechi kwenye hatua ya makundi Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya magoli yaliyofungwa na mchezaji mbadala kwenye mechi katika hatua ya makundi Kombe la Dunia

Jumla kwenye Timu Kombe la Dunia FIFA 2018 – bashiri kuwa:

  • Jumla ya idadi ya kadi za njano zilizotolewa katika timu husika kwenye Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya kadi nyekundu zilizotolewa katika timu husika kwenye Kombe la
  • Jumla ya idadi ya penati zilizotolewa katika timu husika kwenye Kombe la Dunia
  • Jumla ya idadi ya alama walizoshinda timu husika katika makundi kwenye Kombe la Dunia (juu au chini ya namba fulani).

Mshindi wa Kundi Kombe la Ubungo FIFA 2018 mkeka wa ushindi ni lazima ubashiri mshindi wa kundi kwenye Kombe la Dunia.

Golikipa Bora Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka wa ushindi ni lazima ubashiri golikipa ambaye atachaguliwa na Timu ya FIFA.com ya michuano.

Mshindi na Mfungaji Magoli Kombe la Dunia FIFA 2018 mkeka wa ushindi ni lazima ubashiri kwamba ni nani ambaye atashinda Kombe la Dunia 2018 pamoja na mfungaji bora wa michuano ya Kombe la Dunia 2018.

Kadi za Njano & Alama za Makundi Kombe la Dunia FIFA 2018 bashiri idadi ya kadi za njano na alama ambazo timu itapata katika hatua ya makundi.

Mikeka yote itaamuliwa kwa dakika 90 za mchezo, isipokuwa ikitajwa vinginevyo.

Kadi zilizotolewa kwa kocha mkuu na wahusika wengine hazitohesabiwa.

Sheria za jumla za Aina ya Bashiri zitazingatiwa.

Kwa matokeo rasmi tembelea tovuti rasmi ya michuano ya Kombe la Dunia FIFA 2018 fifa.com

 

Tenisi maalum

ZIARA YA KIDUNIA YA KWANZA YA ATP
Sheria ya gemu: Unatakiwa kubashiri ni mchezaji gani wa tenisi mwishoni mwa mwaka atakuwa wa kwanza kwenye orodha ya ATP.
ZIARA YA KIDUNIA YA KWANZA YA WTA
Sheria ya gemu: Unatakiwa kubashiri ni mchezaji gani wa tenisi mwishoni mwa mwaka atakuwa wa kwanza kwenye orodha ya WTA.