Sheria
- Ili kuwa na vigezo vya kufanya Turbo Payout unatakiwa kuwa na bashiri zisizopungua 3 ulizoshinda kwenye tiketi yako.
- Turbo Payout inawezekana kwa mechi ambazo hazijaanza pekee.
- Endapo utakuwa umetimiza vigezo vitakiwavyo, na ukatuma maombi, hutoweza kuzuia tena.
- Mara tu utakapoomba Turbo Payout, tiketi yako inakuwa imeshinda kwa kadri ya sheria.
- Endapo hatua za Turbo Payout zitakamilika, hutoweza kuwa na uwezo wa kukataa malipo.
- Endapo hautokuwa na vigezo vitakiwavyo kwa ajili ya Turbo Payout, mfumo wetu utakataa maombi yako.
- * Promosheni hii si halali kwa bashiri za system.
Namna ya kutuma Turbo Payout
Mara baada ya yatakiwayo yote kutimizwa:
Hatua ya 1
Tafuta tiketi yako kwenye My Account (Akaunti Yangu) > Ticket review (Kutazama tiketi).
Fungua tiketi yako.
Bonyeza kitufe cha Turbo Payout na usubiri kuthibitisha:
Hatua ya 2
Subiri kwa kitambo kifupi:
Hatua ya 3
Utapokea ujumbe wa juu ya kiasi ambacho utalipwa au utakataliwa:
Hatua ya 4
Utapokea meseji ya juu ya kiasi ambacho utalipwa au utakataliwa:
Hatua ya 5
Baada ya Turbo Payout yako kumalizika bonyeza Close (Funga):